Rais wa Jamhuri, Félix-Antoine Tshisekedi, amezungumza jioni ya Alhamisi, Januari 30, na wabunge wa kitaifa na maseneta kutoka Kivu Kaskazini na Kusini kuhusu hali ya usalama inayotia wasiwasi ...
Tarehe 24 January 2025 Rais Tshisekedi alikatiza ziara yake mjini Davos baada ya mapigano makali kuzuka nchini mwake.