Rwanda inaikalia kwa mabavu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kujaribu kupanga mabadiliko ya utawala, waziri wa mambo ya ...
Kiongozi wa Kundi la M23, Corneille Nangaa amesema baada ya kuukamata mji wa Goma, wataendelea na mapigano hadi mji mkuu wa nchi hiyo, Kinshasa.
Miongoni mwa masuala ya Afrika yaliyoangaziwa na magazeti ya Ujerumani wiki hii, ni pamoja na mzozo wa Jamhuri ya ...
Jumuiya ya kimataifa imeitaka Rwanda kuondoa wanajeshi wake nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na kusitisha uungaaji wake mkono kwa waasi wa M23 wanaosema kwamba wanalenga kusonga mbele hadi mji m ...
Dar es Salaam. Rais wa Marekani, Donald Trump amesema mgogoro kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) “ni ...
Msemaji wa serikali ya Ufaransa, Christophe Lemoine amewataka wanajeshi wa Rwanda na waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na ...
Baada ya waasi wa M 23 kuingia jijini Goma Januari 26, na kusababisha makabiliano makali na wanajeshi wa serikali FARDC, ...
Imekuwa wiki ya kufedhehesha kwa karibu mamluki 300 wa Kiromania walioajiriwa kupigana upande wa jeshi katika Jamhuri ya ...